Tuesday, September 10, 2013

PHT KUINUA VIPAJI VYA WALIO WENGI

Kampuni ya PHT ni kampuni inayojishughulisha sana na kukuza vipaji vya waimbaji, kucheza (dancing), matangazo (graphcs), modeling, ubunifu (designing) na uigizaji. Watu wengi wana vipaji na vipaji vyao vimekuwa havitambuliki wala kuthaminiwa, wamebaki kukaa majumbani na kupoteza kile Mungu amewapa, Pacha of Talents (PHT) imeona hilo na imeamua kutatua kwa kutoa mafunzo na kukuza kipaji chako.

Unaweza kujiuliza kampuni hii ya PHT ambayo ni msaada kwa walio wengi inapatikana wapi? Wapo Sinza White Inn na unaweza kuwasiliana nao kwa simu 
+255 753 485049 au +255 713 225805 au +255 659 618434

Mafunzo yataanza tarehe 16/09/2013 na utaweza kununua fomu yako kwa Tshs. 10,000.

Pacha of Talents (PHT) kwa sasa wapo katika uandaaji wa filamu kwanza. Rumaafrica ilibahatika kuongea na baadhi ya viongozi wa PHT juu ya ujumbe katika filamu hiyo nao waliweza kueleza mengi na la msingi zaidi walisema ndani ya filamu hii utaweza kuelimika, kujifunza, utaadibishwa na kuburudishwa.Tangazo hili limetengenezwa na Rumaafrica
wasiliana nasi kwa simu +255 715851523

No comments:

Post a Comment